GET /api/v0.1/hansard/entries/1267439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267439,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267439/?format=api",
    "text_counter": 632,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nimesema kwamba nina ushahidi kuwa Sen. Methu alichapisha kwa WhatsApp. Hata waliitwa Ikulu kupanga vile watatuchinja kesho. Kwa hivyo, mjue kwamba tunajua. Bi. Spika wa Muda, ningetaka kujulisha wenzangu hapa kwamba sufuria ni ishara ya chakula."
}