GET /api/v0.1/hansard/entries/1267474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267474,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267474/?format=api",
"text_counter": 667,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bi Spika wa Muda. Kanuni za Kudumu No. 105, sielewi mbona Mheshimiwa anahashiria kwamba wanao ingia kwenye Bunge hili kama Maseneta huwa wanaashiria kutumia vileo ama mihadarati wanapo fanya kazi zao. Naomba adhibitishe ama aombe msamaha."
}