GET /api/v0.1/hansard/entries/1267476/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267476,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267476/?format=api",
    "text_counter": 669,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi Spika wa Muda, tukiingia hapa kupitia huo mlango kila 2.30 alasiri, tunakaguliwa iwapo tuko na silaha. Hakuna anayebeba silaha hapa lakini tunaangaliwa silaha. Kwa hivyo, itakuwa sio makosa kwa wale ambao wanatoka sehemu zile ambazo wana vitu kama hivyo, waweze kupimwa kama wametumia ama hawajatumia. Kwa kumalizia ni kwamba polisi---"
}