GET /api/v0.1/hansard/entries/1267490/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267490,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267490/?format=api",
"text_counter": 683,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, Sen. Mungatana anawajua hawa watu kwa mienendo yao, mavazi yao na huka zao. Unakumbuka “Mla mamba” kama vile alivyokua akijiita nyakati zile, alipambana na huyu mtu. Huyu mtu, na unamjua huyu mtu, alisumbua Rais Moi, akapewa uwaziri, kukatulia. Akasumbua Rais Kibaki na akaleta michafuko mpaka akapewa cheo cha waziri mkuu. Kutoka hapo, akasumbua Rais Uhuru kwa maandamano haya haya---"
}