GET /api/v0.1/hansard/entries/1267496/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267496,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267496/?format=api",
"text_counter": 689,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, ninakubali. Ni vizuri wajue ya kwamba ninampatia taarifa ambayo hakua anakumbuka. Kwa sababu amesema maneno mengi lakini ukweli wa mambo ni kwamba, mtu moja akinufaika, Kenya inakua nzuri. Tutakataa leo, kesho, kesho kutwa hata mtondogoo. Nashukuru, Bi. Spika wa Muda."
}