GET /api/v0.1/hansard/entries/1267831/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267831,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267831/?format=api",
"text_counter": 46,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Asante, Mheshimiwa Spika. Naomba niwe kwa rekodi na wenzangu kuhusu hii tabia ya Mawaziri. Hata kwa Kamati, tuko na shida kubwa sana. Tumeita Waziri wa Fedha aje akutane na Kamati yetu mara tano. Kila wakati yeye husema ana shughuli. Hiyo shughuli ako nayo kubwa kuliko kutumikia wananchi wa Kenya ni gani? Nilikua nafikiri ni kwa Kamati tu peke yake. Mheshimiwa Spika, sasa hata mbele yako wanaleta huu mzaha. Hii iwe ni funzo kwa wale wengine. Hawa mawaziri wachukuliwe hatua kali kabisa ili wajue wanajukumu la kuja na kujibu maswali ya mambo ya wananchi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}