GET /api/v0.1/hansard/entries/1267832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267832/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Kuna waziri tunaita kwa sababu ya walimu waliostaafu na hawajalipwa fidia. Tunakuomba Mheshimiwa Spika, chukua hatua kali pamoja na secretariat ya Seneti ili wajue hatuchezi tukija kukaa hapa. Hii ni kazi kama hiyo yao. Wanastahili kutupa heshima vile wanapewa heshima kule wako."
}