GET /api/v0.1/hansard/entries/1267879/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267879,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267879/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Spika, naomba kwamba Bunge la Seneti na wachapakazi wake wawe na udiplomasia wa mapema, kujadili ratiba na mipangilio kwa mapema. Vile vile Mawaziri na wasaidizi wao wawe na mawasiliano ya karibu na Bunge la Seneti ili mipangilio yao isilete aibu mbele ya Wakenya."
}