GET /api/v0.1/hansard/entries/1267880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267880,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267880/?format=api",
    "text_counter": 95,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Kwa mfano, sisi ni Serikali. Wale tunaoshutumu ni wachapakazi wa Serikali. Itakuwaje mkono mmoja unaukata mwingine kwa madai kwamba mkono huu haujathibiti majukumu tuliyoupa? Mimi kama mmoja wa Maseneta wa Serikali, tutawarai viongozi wenzangu katika Serikali tuwe na kikao na tusemezane haya maneno. Hii ni kwa sababu, hatuwezikuwa tunakuja hapa kulia na baadaye tena, tutakaa Mawaziri kupanga agenda ya nchi. Asante, Bw. Spika."
}