GET /api/v0.1/hansard/entries/1267975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267975,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267975/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mtoto anaenda asubuhi shule akirudi jioni, badala ya kufanya kazi ya ziada, anachukua mtungi na kuusukuma hadi mtoni. Anauchukua mtungi na kuusukuma tena hadi nyumbani. Anachoka sana. Mtoto ataifanya aje kazi ya ziada? Jambo la kushangaza ni kuwa hakuna sheria ambayo inashurutisha gavana kutoa ripoti kuhusu hali ya maji katika kaunti zetu."
}