GET /api/v0.1/hansard/entries/1267977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267977,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267977/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tunafurahia Mswada huu ambao umewasilishwa katika Seneti. Itaweka namna ya kupima ili watu ambao wamepata nafasi hizi kupitia kura zao wafanye haki kwa wananchi wetu. Kwa hayo mengi, nauunga mkono. Asante."
}