GET /api/v0.1/hansard/entries/1268001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268001,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268001/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okenyuri",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii. Ningependa kumpongeza Seneta mwenzangu, Sen. Mumma, kwa kuleta Hoja hii ili kujadili malengo ya maendeleo endelevu. Hapa pia tunaangazia ruwaza ya Mwaka 2030. Sijui kama mambo haya yatabakia kuwa tu ndoto. Serikali ambazo zimekuwepo zimekuwa zikitia jitihada kuona kuwa mambo haya yametendeka nchini. Nikikumbuka mwaka wa 2016 nilikuwa nimetoka chuoni na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, alitoa ripoti iliyoonyesha mambo mengi haswa kuhusiana na nchi hii. Ripoti nyingi zilionyesha kuwa bado The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}