GET /api/v0.1/hansard/entries/1268003/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268003,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268003/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "The Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": " Asante, Sen. Okenyuri. Nikiangalia Maseneta ambao wako hapa, Sen. Veronicah Maina anaelewa kile umesema lakini Sen. Mumma amepata changamoto. Sidhani anaelewa ruwaza ni nini. Ruwaza 2030 ni Vision 2030. Kwa vile hakuna Seneta mwingine ambaye ana nia ya kuzungumza, nitamwita mwenye Hoja hii kujibu."
}