GET /api/v0.1/hansard/entries/1268250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268250,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268250/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "kulijadili. Wale wanaolipa ushuru kule Mombasa wameishi miaka mingi kwenye ile ardhi lakini kuna mtu mahali anasema hayo mashamba ni yake ilhali si Mkenya. Tuangalie tunapokusanya ushuru wa mashamba yetu, usiwe ushuru unaokusanywa kujenga mataifa mengine ila uwe unajenga taifa letu. Ni wakati serikali iangalie wale ambao hawana hati miliki na waliokaa katika mashamba hayo miaka mingi wakilipa ushuru waweze pia kupewa titledeeds ."
}