GET /api/v0.1/hansard/entries/1268252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268252,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268252/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Mwisho, wakulima watolewe kabisa katika kulipa rates ili tuweze kukuza chakula cha kutosha katika taifa hili. Taifa hili linategemea wakulima. Kwa hivyo, tuwapunguzie gharama za kilimo ndio tuweze kupata mavuno mengi, uchumi upande na ushuru ushuke."
}