GET /api/v0.1/hansard/entries/1268448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268448,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268448/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, nawakaribisha wanafunzi wa Kamviu Secondary School kuja kujifunza na kuona yale tunatenda hapa. Seneti ni “UpperHouse” na natumai mtakuwa Maseneta, Wabunge au Maspika wa kesho. Tunawaomba mtie bidii masomoni na mjiepushe na dawa za kulevya, pombe na mambo mengine ambayo hayafai. Mkiwa shuleni, nawaomba mtii wazazi na walimu wenu. Tunashukuru Kaunti ya Embu kwa kuwa kati ya kaunti 47, ni Embu pekee ambako hakukuwa na maandamano kwa sababu ya umoja. Mkirudi nyumbani, jueni kwamba Serikali ya Kenya Kwanza inaendelea vizuri."
}