GET /api/v0.1/hansard/entries/1268450/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268450,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268450/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Bw. Spika, vile vile nitazungumza kwa Kiswahili. Napongeza walimu, wanafunzi na wazazi wa Nguruki Day Secondary School katika Kaunti ya Tharaka Nithi. Tharaka Nithi ni kaunti jirani. Zamani ilikuwa katika Meru kisha tukagawanya na kuweka mipaka ya Meru na Tharaka Nithi. Ninachukua fursa hii kuwakaribisha katika Bunge la Seneti. Waendelee kwenye masomo yao vizuri na nidhamu na kusikiza yale wanafunzwa na waalimu. Wale Maseneta wako hapa walipitia kwa hizo shule. Hata kama ni day secondary"
}