GET /api/v0.1/hansard/entries/1268452/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268452,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268452/?format=api",
"text_counter": 97,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "zote zina waalimu sawia. Nawatakia mema. Wajikaze kwani mwaka huu kuna mtihani. Tutaangalia sana Nguruki Day Mixed School iko number ngapi kwenye Kaunti ya Tharaka Nithi. Kwa niaba ya Seneta wa Tharaka Nithi nawatakia kila la heri wakirudi kwao nyumbani."
}