GET /api/v0.1/hansard/entries/1268564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268564,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268564/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninachukua fursa hii kumpongeza Seneta wa Kaunti ya Mombasa kwa kauli yake kuhusu kudorora kwa huduma za feri. Mimi ni mkaazi wa Kaunti ya Kwale na mara kwa mara, mimi huvuka feri kwenda Mombasa kufanya shughuli zangu au kurudi Kwale jioni kupumzika. Vile vile, Kaunti hizi mbili za Kwale na Mombasa zinategemea utalii kama kitega uchumi. Ndio The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}