GET /api/v0.1/hansard/entries/1268621/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268621,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268621/?format=api",
"text_counter": 266,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Kulingana na Kanuni za Seneti Nambari 105, yale yanapaswa kujadiliwa ni mambo ya ushuru wa aina nyingi unaotozwa. Sielewi mustakabali wa hoja za ushuru na utupaji wa mawe, sufuria kwenye vichwa, tetesi dhidi ya viongozi wasio hapa na ushuru ambao unalipwa. Sijaona ushuru kwa sufuria wala kwa mambo haya. Naomba Seneta adhibitishe uhusiano wa viambajengo ambavyo ametaja na mada iliyoletwa na ndugu yangu Seneta. Asante."
}