GET /api/v0.1/hansard/entries/1268657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268657,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268657/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ambazo zitakataa kufuata sheria. Wamepewa miaka mitatu kuweka habari kwenye kompyuta. Je, miaka mitatu ikiisha bila kufanya hivyo, ni adhabu gani itakayopewa licensing authorities ambazo hazitakuwa zimefuata sheria hii ambayo tutapitisha kama Seneti? Hilo ni pengo kubwa sana ambalo tungependa Seneta aangalie ili sheria hii iwe kamilifu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}