GET /api/v0.1/hansard/entries/1268843/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268843,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268843/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kirinyaga County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Njeri Maina",
"speaker": null,
"content": " Shukran, Mhe. Spika wa Muda. Ninataka nimfahamishe kwamba huu si mjadala kuhusu kijamii, ni mjadala ambao yale ambayo tutapendekeza katika hili Bunge yatatengenezwa na kuundwa kulingana na sheria za Kenya. Kwa hivyo, hayatakiuka sheria ambazo tuko nazo sasa hivi. Shukran."
}