GET /api/v0.1/hansard/entries/1268863/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268863,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268863/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza kabla sijaendelea, ningependa kuchukua sekunde mbili kuwakumbuka Wakenya ambao walipoteza maisha yao, vijana na watoto wadogo, na watu ambao hawakuwa na hatia. Ninachukua fursa hii kutoa rambirambi zangu kwa familia za wale waliopoteza maisha yao. Tunapowasha mishumaa leo, tunawapa pole zetu. Mwenyezi Mungu ahifadhi jamii zenu pamoja na wema."
}