GET /api/v0.1/hansard/entries/1268866/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268866,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268866/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Katika eneo la ugatuzi la Mombasa, nikishauriana na watoto katika shule tofauti, kitu ambacho nilikuja kugundua ni kuwa watoto wengi wamejiingiza katika mambo machafu. Wanafanya ngono watoto wa kike kwa wa kike na wa kiume kwa wa kiume. Hii ni kwa sababu kuna watu ambao wameingia katika taifa hili na wanafanya kampeni kubwa sana za kuwaharibu watoto wetu. Tunaomba kuwa katika ile comprehensive education …"
}