GET /api/v0.1/hansard/entries/1268868/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1268868,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268868/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "…hapa na hapa usifanye hili na lile. Unapofika umri fulani jaribu kuzingatia masomo yako na usiingilie mambo ya ngono kwa sababu yatakuletea ujauzito. Ukipata mimba ukiwa na umri mdogo, nyonga yako bado ni ndogo na ukienda kujifungua, unaweza kufa ama ukapoteza The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}