GET /api/v0.1/hansard/entries/1268869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1268869,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1268869/?format=api",
    "text_counter": 196,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "mtoto. Pia, unaweza ukapata maradhi kama UKIMWI ama maradhi tofauti tofauti ya ngono na uwe umejiharibia maisha yako. Tuwaeleze watoto wetu kuwa kuna heshima ya kungoja wakati mwafaka, kumpata mwenzako na kuolewa ili usijiingize katika mambo haya. Kama mzazi, ningependa kuzungumza na wazazi kule nje. Tuwache kuwapatia watoto wetu simu za rununu. Utafikiri kuwa mtoto ameingia sehemu sawa katika simu lakini huwa inafika wakati ambapo hizo simu zinakuuliza kama unataka kuingia mahali fulani pabaya. Watoto hawa hawawezi kuwa na control ya simu hizo. Wanaweza kuingia mahali pabaya"
}