GET /api/v0.1/hansard/entries/1269016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1269016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269016/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa nafasi hii kwanza kuwapigia shangwe na kongole wanariadha wetu kwa matokeo ambayo yametufurahisha na kuwatia moyo wengi ambao wana azma ya kuleta taji au mataji katika nchi ya Kenya. Sen. Cherarkey ametaja kwamba ako talanta adimu ya kuchana mbuga usiku kama wanyama wa pori. Ni vyema kwamba nchi hii iweze kuwekeza kwa talanta aina hio, kwa sababu, inaweza epusha madhara yanayodhihirika katika barasi za nchi ya Kenya zinazoonekana kwa sababu ya maandamano ya kubeba ala za matumishi ya jikoni. Mheshimiwa Spika, zaidi ya hayo---"
}