GET /api/v0.1/hansard/entries/1269018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1269018,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269018/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": " Bw. Spika, je ni vyema kwa Seneta wa Bungoma, Sen. Wafula, kumtusi mwenzetu, Sen. Cherarkey kwa sababu ya upungufu wa lugha upande wa Sen. Cherarkey? Sen. Cherarkey hajaelewa kwamba Sen. Wafula alimlinganisha na mnyama wa mbuga. Hiyo ni haki kweli? Mheshimiwa Spika, ningependa umkozoe kwanza na umwambie si vizuri kulinganisha Seneta mwenzake hata kama ni kwa ile lugha wanaita figurative. Unaweza nisaidia kwa sababu unaelewa Kiswahili zaidi kuliko mimi."
}