GET /api/v0.1/hansard/entries/1269022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1269022,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269022/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kingi",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Kiongozi wa Walio Wengi, katika lugha ya Kiswahili, kuna sehemu inaitwa fasihi na unaweza kulinganisha ili kupata ufahamu zaidi. Nafikiri hivyo ndivyo, Sen. Wafula, amefanya. Hakumuita mnyama wa matembezi ya usiku. La! Hasha! Kwa hivyo, sidhani kwamba ameenda kinyume na Kanuni Zetu za Kudumu za Bunge."
}