GET /api/v0.1/hansard/entries/1269024/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1269024,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269024/?format=api",
"text_counter": 84,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Anayotaja Kiongozi wa Wengi husema aisifuye mvua imemnyea. Kenya tunaye mwanabondia Wanyonyi ambaye siku kadhaa zilizopita, alikabiliana na mhasimu wake Madonga Nguvu Kazi, ngumi iliyozaliwa Ukraine. Alicharazwa makonde, masumbwi na nguvu za itikadi za Bungoma na maombezi ya Yesu wa Tongaren."
}