GET /api/v0.1/hansard/entries/1269026/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1269026,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269026/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Jambo la kushangaza, Wanyonyi hakupewa heko wala kushukuriwa. Lakini kwenye vyombo vya habari, tunaona wale ambao wana tabia mbovu na makosa ambayo hayastahili kuwekwa kwenye runinga, wanapewa mwezi mzima Kenya ikijadili vitu ambavyo havileti heshima katika nchi. Tunaomba kama Bunge la Seneti vilevile, tuhakikishe vyombo vya habari vinawapa kipao mbele wanariadha na viongozi ama wachapakazi nchini ambao matendo, matamshi, maisha na hulka zao zinaashiria uzito na kwamba wao wako katika jitihada za kuboresha nchi ya Kenya."
}