GET /api/v0.1/hansard/entries/1269655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1269655,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1269655/?format=api",
"text_counter": 370,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Nimesema hivi kwa sababu mimi ni Mwanachama wa Chama cha Jubilee. Sitaki kujua ni nani atakasirika ama atafurahi nikiongea. Nilitazama matukio ya maandamano kwenye runinga na nikajiuliza swali. Mimi nimewahi panga maandamano katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini nikilalamikia matatizo yaliyokuwa yanawakumba wakazi katika eneo Bunge langu. Kila wakati niliwacha shuhuli za Bunge na nikaongoza hayo maandamano. Siku The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}