GET /api/v0.1/hansard/entries/1270109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1270109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270109/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Haki zetu zinakuja na majukumu. Tuwe tayari kujukumika katika kila haki ambayo tumeitisha katika hii Taifa. Nimesikia kwa muda mrefu, upande wa Walio Wachache wakililia haki. Tutambue ya kwamba, pale ambapo haki yako inakoma ndipo haki ya mwingine inaanzia. Kuna Wakenya watulivu ambao hawakutaka kuhusishwa na maandamano. Hata huyu mlinzi ambaye unasema umenyimwa na ni haki yako, pia ana haki ya kuchungwa katika Taifa la Kenya. Asante Bw. Spika."
}