GET /api/v0.1/hansard/entries/1270819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1270819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270819/?format=api",
"text_counter": 449,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Kule Mombasa, ninazungumza kama mama yao. Wale watoto wamekuja wengi sana ndani ya ofisi. Unapata mimi kama Mama Zamzam, ajira zote ambazo ninatoa ni za kwenda nje. Hata ninachukia kwa sababu watoto wamesoma, wana stakabadhi zao, na uwezo wa kufanya kazi wanao lakini wamebaki nyumbani. Utasikia wakiniambia niwatafutie pasipoti waende kutafuta kazi nje. Haya yote ni kwa sababu kuna unyanyapaa na kuonewa. Watoto The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}