GET /api/v0.1/hansard/entries/1270823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1270823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270823/?format=api",
"text_counter": 453,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Ninamuunga mkono Mhe. Rahim nikisema kwamba ajira zikitoka kwa uadilifu, yule mtoto wa maskini, yule Muhammad, Kadzo, Mariamu, na Jennifer, wote wakipewa kazi kwa kuangalia stakabadhi na ujuzi wao, basi tutaweza kuwasaidia vijana wengi. Ajira itakuwa imekolea na kuenea kila mahali."
}