GET /api/v0.1/hansard/entries/1270889/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1270889,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270889/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, nasimama kwa mujibu wa Kanuni ya Kudumu No. 53(1), kuomba Taarifa kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Barabara, Uchukuzi na Makao kuhusu kuzorota kwa miundombinu na huduma katika Jengo la Bima Towers katika Kaunti ya Mombasa. Katika Taarifa hiyo, kamati inafaa kuchunguza na kuripoti katika Seneti-"
}