GET /api/v0.1/hansard/entries/1270890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1270890,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1270890/?format=api",
"text_counter": 42,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "(1) sababu zilizopelekea lifti katika jengo hilo kutofanya kazi kwa muda wa zaidi ya miaka miwili pamoja na ukosefu wa huduma za maji safi katika jengo hilo, ikizingatiwa kwamba jumba hilo lina ofisi mbalimbali za Serikali ya Kaunti ya Mombasa na Serikali Kuu, ambapo mamia ya watu huzuru kila siku kutafuta huduma za dharura katika ofisi hizo; na,"
}