GET /api/v0.1/hansard/entries/1271543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1271543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271543/?format=api",
    "text_counter": 74,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": "Bw. Spika, huyu Kiongozi wa Walio Wachache ametaja jambo la huko Meru akisema kuwa hospitali ya wale watu walio na akili punguani ipelekwe huko. Najua anajua Meru vizuri. Visa vya watu walio na akili punguani ni vidogo sana huko Meru. Kwa hivyo, sioni kama ni vizuri vile umepeana mfano wa Meru. Mimi nikiangalia pale Kilifi, ukitembea hata Mtwapa peke yake unaweza hesabu wengi sana ambao wanahitaji huduma kama hiyo."
}