GET /api/v0.1/hansard/entries/1271547/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271547,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271547/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante Bw. Spika kwa hilo ulilolitamka. Nakubaliana na wewe kabisa ya kwamba sikutaja Meru pengine afikirie mimi nimesema huko tu. Huko kuna watu wangu na ndugu zangu wengi. Niko na familia ambayo damu yao iko upande huo. Kwa hivyo ninakubaliana kabisa na yale aliyosema. Sikusema hivyo."
}