GET /api/v0.1/hansard/entries/1271553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271553/?format=api",
"text_counter": 84,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": "Bw. Spika, nina hoja ya nidhamu kwa kiongozi mwenzangu. Wewe unajua vizuri kwamba mke wake anatoka sehemu zile za Meru. Na ukiwa umeoa mahali fulani, katika desturi zetu na mila zetu sisi kama Waafrika, unawatakia mambo mazuri. Unawapangia mashemeji zako mambo makuu ambayo yatawasaidia. Mimi nimekuwa naye katika Bunge hili karibu miaka kumi na tano. Sijamsikia hata siku moja akitaja jambo lolote ambalo angependa lipelekwe Meru. Jambo ambalo amelitaja siku ya kwanza ni kwamba anataka kuwapelekea hospitali ya wendawazimu."
}