GET /api/v0.1/hansard/entries/1271562/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1271562,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271562/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Wakati mwingine watu kama akina Sen. Wambua wakichangia, tunasema pia hospitali kama ipo, iko huko Kitui. Lakini la kumalizia ni kwamba, taarifa hii ni nzuri na iko na mwelekeo mzuri. Tunaomba kabisa itakapopelekwa kwa Kamati itakayo shughulika nayo, ionelee ya kwamba katika kila eneo katika kaunti arobaini na saba, kuwe na hospitali kama hizi."
}