GET /api/v0.1/hansard/entries/1271576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1271576,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271576/?format=api",
    "text_counter": 107,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13592,
        "legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
        "slug": "onyonka-richard-momoima"
    },
    "content": "Ninakubaliana na Sen. Ogola kwamba hili ni jambo muhimu sana. Sisi kama Maseneta, tuhakikishe kuwa katika majimbo yetu 47, tumeleta sheria na mipangilio ambayo itasaidia kuhakkisha mazingira yetu, haswa ya Ziwa Victoria, yanachungwa na kulindwa kwa manufaa ya vizazi vinavyokuja."
}