GET /api/v0.1/hansard/entries/1271589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271589/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Reitz, iangalie kwa makini ni vipi watu wale wanaangaliwa kwa sababu matatizo ya akili sasa yameingia katika kila jamii ya Kenya. Vile vile, maswala ya mazingira ni muhimu sana. Kule Mombasa tumeona uchafuzi wa mazingira umeingia katika Bahari la Hindi. Ukienda katika ufuo wa bahari, kwa mfano, ukitoka Nyali Bridge ya zamani uzunguke mpaka Statehouse, utapata uchafuzi wa mazingira umekithiri sana. Utapata kwingine hata maji machafu yanayotoka kwenye nyumba zetu yanaingia moja kwa moja katika bahari ambapo yanaharibu mazingira ya samaki kutaga mayai na pia kuzaana. Vile vile, wale samaki watakapovuliwa hawatakuwa halali kuliwa na binadamu kwa sababu mazingira yao yamechafuliwa. Utupaji wa plastiki na takataka nyingine ambazo kwa kizungu wanasema “they"
}