GET /api/v0.1/hansard/entries/1271591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271591,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271591/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "inamaanisha kwamba samaki akila takataka zile, zikiingia katika mwili wake, baadaye tukikkula wale samaki, tutakuwa tunadhuru afya yetu. Ndio maana visa vingi vya saratani ya mwili vinatokana na mazingira na kukula vyakula vinavyoathiriwa na mazingira kama hayo. Bw. Spika, ningependa pia Kamati ya Mazingira itakapokuwa inaangalia swala hili, pia wazuru Mombasa kwa sababu ile mchafuko inayoendelea katika Bahari Hindi yanaathiri pakubwa uzalishaji wa samaki, uvuvi na maisha yetu sisi katika eneo la pwani. Asante kwa kunipa fursa hii."
}