GET /api/v0.1/hansard/entries/1271953/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271953,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271953/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, natoa shukrani kwa Waziri kutoka Kaunti yetu ya Kwale. Wiki iliyopita, maandalizi ya kupanda miti na mikoko ilifanywa katika Kaunti ya Kwale. Tunashukuru sana Bi. Waziri kwa shughuli hiyo ya upazi wa miti katika Kaunti ya Kwale, Sub county ya Lungalunga Majoreni. Natoa shukrani sana kwa niaba ya watu wa Kaunti ya Kwale na Gavana wangu, Fatuma Achani. Tunasema asante kwako Bi.Waziri."
}