GET /api/v0.1/hansard/entries/1271961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1271961,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271961/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Soipan Tuya",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary, Ministry of Environment, Climate Change and Forestry",
    "speaker": {
        "id": 926,
        "legal_name": "Roselinda Soipan Tuya",
        "slug": "roselinda-soipan-tuya"
    },
    "content": " Asante sana, Bw. Spika. Mhe. Seneta, nilipokea salamu zenu kupitia kwa Katibu Mkuu. Kuna mpangilio wa kununua miche wala sio tu mikoko pekee kwa sababu kuna miche mingi ambayo inakuzwa na vijana, kina mama na watu wengine katika nchi ya Kenya. Ningependa kusema kwamba tuna nia ya kujua pahali miche inakuzwa. Lazima ikuzwe kulingana na mipangilio ya vikundi katika nurseries. Kama nilivyosema awali, changamoto kubwa tuliyonayo kwa sasa ni availability"
}