GET /api/v0.1/hansard/entries/1271984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1271984,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1271984/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wale ambao hawakupanda, walisaidia wengine na chakula. Ulifuatilia jambo hili namna gani kwa sababu tunajua kazi yako ni nzuri ya kuangalia kwa kuwa wale watu walioiba pesa mapema ndio walipatiwa barua ya kwenda kukata zile miti? Kama Embu County, kuna msitu inayoitwa Irangi. Wale watu waliokuja pale ni wageni. Uliwaruhusu namna gani hao watu waingie? Kwa sababu tunajua unafanya kazi nzuri, kwa nini hukuangalia kwanza hao watu watemwe nje kisha warudishiwe pesa zao? Hii ni kwa sababu wale ambao watalipa na bei sasa watalipa pesa nzuri ya kuinua uchumi wa Kenya ndio uweze kupata watu wapya. Kisha pia Kaunti yenyewe ishereheke na ifururahie kwa sababu baaadaye watapanda miti. Tunajua kupanda miti ni jukumu la Kaunti mpaka kule sehemu za chini. Hilo ndilo Swali langu Bi. Waziri. La pili, tuli---"
}