GET /api/v0.1/hansard/entries/1272046/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1272046,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272046/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Nchi yetu tuna baraka. Wakati mwingi tunapata mvua, hata mvua ya mafuriko. Unapata maji yote ya mvua yanatiririka na kuingia kwa bahari zetu. Hata wakati wa msimu wa mvua, unasikia sehemu nyingi Wakenya wakiomba Serikali iwasaidie kwa sababu mifugo na vitu vingine vimebebwa na maji."
}