GET /api/v0.1/hansard/entries/1272047/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1272047,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272047/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Lakini baada ya mwezi mmoja, unapata kiangazi kisha watu wanakosa maji ilhali maji yote yalitiririka na kuingia katika maziwa na bahari. Sijui Waziri ana mipango gani ya kuhifadhi haya maji yote yasiwe yanateremka kwa bahari. Jambo la pili ni kwamba mabwawa yetu yamejaa mchanga. Ni hatua zipi ambazo wako nazo, kwanza kuhifadhi maji na, pili, kutoa mchanga kutoka kwa mabwawa yetu? Asante Bw. Naibu Spika."
}