GET /api/v0.1/hansard/entries/1272112/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1272112,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272112/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa nafasi hii na vile vile kumshukuru Waziri kwa kazi ambayo anafanya. Anadhihirishia Wakenya ya kwamba kando na kuwa mwanasiasa, mwanamke pia ana uwezo wa kufanya kazi kando na kanuni za kijinsia zilizowekwa na tamaduni zetu. Tumeona miradi mingi ya maendeleo ya maji katika kaunti mbalimbali humu nchini. Katika Kaunti ya Bungoma, kuna mradi wa maji inayotoka Mlima Elgon ambao unaofadhiliwa na nchi za kigeni. Tunashukuru kwa sababu unaenda kuchangia pakubwa kwa wakaazi wa mji wa Bungoma, Kaunti nzima pamoja na Kaunti ya Busia kupata maji."
}